B

B

Saturday, August 13, 2016

MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA KUZICHAPA ULINGONI NA BONDIA FRANCIS CHEKA AGOSTI 27

Kwa wale wapenzi wa mchezo wa masumbwi hapa nchini mnamwelea Bondia Francis Cheka ambaye amejishindia mataji mengi ndani na nje ya nchi katika mapambano mbalimbali aliyowahi kushiriki. Bondia Cheka yuko tayari kuonyesha mchango wake wa kusaidia jamii katika kuweka mazingira safi na mambo mengine ya kimazingira. Rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ambaye yuko mstari wa mbele kuhakikisha kuwa mkoa wake ama jiji la Dar es Salaam linakuwa safi amefanya kuandaa pambano rasmi la masumbwi dhidi yake na Bondia Francis Cheka siku ya Agosti 27 ili kuhamasisha swala la usafi ndani ya jiji.

No comments:

Post a Comment