B

B

Monday, August 8, 2016

MCHEZAJI SOKA PAUL POGBA AFANYIWA VIPIMO KABLA YA KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED.

Mchezaji soka wa klabu ya Juventus ya nchini Italia Paul Pogba ambaye ni raia wa Taifa la Ufaransa amepata wakati wa kwenda kufanyiwa vipimo vya afya katika kablu ya Manchester United ya Uingereza. Awali kulikuwa na tetesi nyingi juu ya mshambuliaji huyu kuchepukia kwenye vilabu vingi maarufu duniani katika mabara ya Ulaya na Hispania zikiwemo vilabu vya Barcelona na Real Madrid kwa uhamisho wa dau kubwa zilizokadiriwa kufikia Euro 100 milioni. Kwa sasa mchezaji huyu machachari ana nafasi kubwa ya kujiunga na kikosi cha The Special One chini ya Kocha Mreno Jose Mourihno pale Old Trafford Uingereza.

No comments:

Post a Comment