B

B

Monday, August 1, 2016

MWONEKANO MPYA WA HOTELI YA MWANASOKA CRISTIANO RONALDO

Mwanasoka na mfanyabiashara mreno Christian Ronaldo amejiongeza katika nyanja ya uwekezaji kwa kujiingiza kwenye biashara ya malazi huko nchini ureno na baadhi ya nchi za ulaya. Mkataba aliongia nao na kampuni za Pastana ndio imemweka katika nafasi ya ubia Mkubwa wa kuwekeza miradi mingi ya hoteli na migahawa.


No comments:

Post a Comment