B

B

Wednesday, April 16, 2014

NJIA RAHISI YA KUPATA FOLLOWERS (WAFUASI) WENGI KWENYE INSTAGRAM..EASY WAY OF GETTING MANY FOLLOWERS IN INSTAGRAM!!


Jiunge na Instagram kwa mara ya kwanza na kama wewe umeshakuwa mtumiaji basi ni vyema ukaanza ama kuendelea kuweka picha zako tofauti tofauti kwenye akaunti yako alafu unapomaliza kuweka picha mpya nikimaanisha uploading photo kutoka kwenye simu yako kwenda kwenye application ya Instagram basi kitu ambacho ni rahisi sana kufanya ili kuongeza ama kupata wafuasi wengi kwenye akaunti yako ni kufuata watu ama marafiki ambao wanapenda ma tabia ya kufuata pia akaunti yako, alafu ukishamaliza waombe watu ama marafiki zako msaada kwa msaada nikimaanisha "Ask people to do shout out for shout out.Add lots of Tags that are related to the picture that you post in the description.Ask your friends to follow you" wakishakufuata hapo utajiunganisha na baadhi ya watu na marafiki ambao wengine hutawajua ila mtashare picha zenu pamoja.
Pia njia nyingine ya kupata marafiki ama watu wengi kupitia Instagram ni kuunganisha akaunti mbili yaani moja uliyopo yoyote ya kijamii na Instagram yenyewe..mfano; Facebook na Instagram na utaweza kupata marafiki zako ambao wanatoka huko na kufuata akaunti yako ya Instagram.Ila kwa yule mwenye marafiki wengi Facebook, Twitter, Tumblr na kwingineko basi anaweza kuwa na bahati kubwa ya kupata shavu ama support ya wafuasi wengi ipasavyo. 
Report By;Benson kaile Jr.

No comments:

Post a Comment