B

B

Thursday, April 17, 2014

NEW NOKIA X PHONES (SIMU) MPYA ZA KIGANJANI ZAZINDULIWA DAR ES SALAAM





Simu mpya aina ya Nokia X zimeleta flava mpya ya kimawasiliano mjini ambapo ni zaidi ya kuwa na mitandao mingine hapa nchini kama Smart kampuni iliyoanza huduma zake miezi iliyopita. Simu hizi zinadhaminiwa na kampuni ya Nokia corporation ambapo nikurahisisha zaidi mawasiliano kwa njia ya mitandao ya kijamii iliyokuwa na watu wengi siku hizi za karibuni idadi kuongezeka kuwa kubwa hadi kupelekea hata bisghara nyingi kutumia mitandao hii na hata hupatikanaji wa ajira ya masoko na mengineyo.

Simu hizi za Nokia X ni mpya kabisa na zikiwa za kwanza kwa watumiaji watakao kuwa wakwanza kuzipata kiganjani. Kuna zaidi ya social networks nyingi mfano Facebook,Twitter,Instagram,Skype na nyingine kibao. Pia uzinduzi ulipambwa na wasanii wa Tip Top Connection akiwemo Madee na Tundaman

No comments:

Post a Comment