B

B

Friday, January 3, 2014

JIJI LA MWANZA WALIVYOUKARIBISHA MWAKA MPYA NA SKYLIGHT BAND NDANI YA PANTON YA FB CHACHA

 Dr.Sebastian Ndege a.k.a Jembe akizungumza na wana Mwanza wakati wakusheherekea sikukuu ya mwaka mpya wa 2014 ikiwa ni ndani ya Panton ya FB CHACHA kwenye party la nguvu "THE ROCK CITY CRUISE PARTY" lililosindikizwa na bendi maarufu na ya kisasa inayofanya vizuri katika muziki wa bolingo au sebene kama watoto wa mjini wanavyotamka Skylight Band na mashabiki waliweza kushuhudia baadhi ya vyombo vipya vya bendi hiyo.





No comments:

Post a Comment