B

B

Friday, January 3, 2014

YALIYOJIRI COCO BEACH KWENYE MKESHA WA MWAKA MPYA 2014..SWAGGED OUT!!

 Hapa ni ndani ya Big screen wadau wakiwa na shauku ya kuuona mwaka mpya wa 2014 na tayari mambo yamejipa kwa kuuona mwaka huu salama wasaalimini tunamshukuru Mola na Gambe linatembea kama kawaida kwa wadau wote wa Unyamani..

 Msanii wa Hip Hop Nikki wa Pili akiwa na baadhi ya warembo waliokuwa katika kuhukaribisha mwaka mpya wa 2014 katika fukwe za Coco Beach hapa jijini Dar es Salaam..



Warembo hapa wamechizika na Ulabu waliokuwa wakipiga ndani ya pande hizi za Coco Beach na kuonyesha Swagg lao kwenye snap hii kama mnavyoona wadau...Big Up sana 2014!!

No comments:

Post a Comment