B

B

Friday, January 3, 2014

JOH MAKINI NDIE MSANII WA HIPHOP TANZANIA ALIYEFANYA SHOW NYINGI NDANI YA MWAKA 2013

Msanii wa Hip Hop Tanzania Joh Makini amethibitishwa rasmi na baadhi ya vyombo vya habari hususani media kiujumla kuwa amejiwekea rekodi ya pekee ya kuwa msanii wa Hip Hop aliyeweza kufanya show nyingi zaidi ndani ya mwaka mzima wa 2013 akipiga show zake katika matamasha mbalimbali yakiwemo ya Kilimanjaro Music Awards na pia katika taarifa maalumu aliyojiwekea msanii huyu kwenye ukurasa wake wa Facebook imejidhihirisha wazi juu ya swala hili. Msanii huyu kwa show ambazo tayari alikuwa ameshazifanya zimekadiriwa kuwa hazipungui  chini ya 50. BIG UP SANA!!!!

No comments:

Post a Comment