B

B

Friday, December 20, 2013

MAMIA YA WATANZANIA WAMZIKA KATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA

 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akisoma historia ya marehemu Mteming'ombe huku Naibu katibu mkuu CCM Bara Bw. Mwigulu Nchemba akiwa na simanzi.
                        Mjane wa marehemu Mteming'ombe akiweka shada la maua
                      Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Ishengoma akiweka shada la maua.
  Naibu katibu Mkuu CCM Bara Bw. Nchemba akiweka shada la maua kwa niaba ya viongozi wengine wa chama hicho juu ya kaburi la marehemu Bw. Emanuel Mteming'ombe katika makaburi ya Roman Catholic Rujewa Mbarali,Mbeya.MUNGU AILAZE ROHO YAKE PEPONI..Amen 
                                                  Report by;Benson kaile Jr

No comments:

Post a Comment