Mwenyekiti wa asasi ya vijana ya umoja wa mataifa (YUNA), Dr. Lwidiko Edward akizungumza na vijana kutoka asasi mbalimbali hapa nchini juu ya ushiriki wa vijana katika mkutano uliopita wa COP 19 katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za UNESCO jijini Dar es salaam.
Report by;Benson kaile Jr
No comments:
Post a Comment