Rapper Aubrey Drake Graham mwenye asili ya canada anayeishi marekani katika albamu yake aliyoitoa miezi ya nyuma imefanya vizuri kimauzo huku jarida la Billboards likiwa na taarifa kuwa mauzo yote ya kazi yamefikia dola millioni 1sawa na (1.6billioni za kitanzania).Msanii huyualiweza kushika chati kadhaa kwa kazi nzuri ya albamu NOTHING WAS THE SAME.
more in;billboard.com
Report by;Benson kaile Jr
No comments:
Post a Comment