B

B

Friday, December 20, 2013

MABILIONI YATUMIKA KUMZIKA MANDELA

                 KIASI HIKI CHA PESA KINGESAIDIA MAENDELEO YA JAMII
 Aliyekuwa Rais wa Afrika kusini Nelson Madiba Mandela alifariki dunia hivi majuzi akiwa ameushtua ulimwengu mzima na tahamaki kwa taifa lake. Msiba wake uliudhuriwa na idadi kubwa ya viongozi wakubwa duniani. Inasemekana ndo msiba mkubwa ukivunja ile rekodi ya msiba wa kiongozi wa kanisa katoliki Pope Paul II. Viongozi zaidi ya 100 walikutana katika mji wa Johannesburg kwenye msiba wa shujaa huyu wa Africa. Rand 72 million sawa na shillingi(Billioni 12) za kitanzania zilitumika kwa shughuli zote za maandalizi ya kumuaga na mazishi kwa ujumla... 
 more information;Msiba wa Mandela
                                                                                                     Report by;Benson kaile Jr

No comments:

Post a Comment