KUDORORA KWA ELIMU YA TANZANIA ALAUMIWE NANI,MZAZI AU MTOTO..???
MAMBO WANAYOYAFANYA WANAFUNZI MITAANI
Kuna mambo mengi ambayo mwanafunzi anatakiwa kuyafanya hasa kipindi kifupi cha masomo yake kabla yakuedelea na taratibu mwingine wa kimaisha.Huwa inatokea kuwa anakubwa na tamaa na baadhi ya vishawishi vingi.Huyu ni mwanafunzi wa shule ya sekondari hapa jijini ambaye alikutwa na jamaa mmoja(jina tunaliifadhi)wakiwa wanafanya ngono zembe.Tukio hili sio la mara ya kwanza kutokea kwa wanafunzi wa shule kulaghaiwa na kutumika kwa shughuli hizi.Tukio hili lilitokea kwenye maeneo ya sinza ambapo wasamaria wema waliweza kupeleleza na kuripoti kitendo hichi cha aibu.Kwani imekuwa desturi kwa watoto wakike kupenda starehe sana kuliko kuimiza jitihada nyingi kimasomo.Jamaa aliyefumwa na binti huyu yuko rumande na kesi yake tayari imeshaanza kusikilizwa na binti huyu amelipishwa faini yakukubali kitendo hichi huku wazazi wake wakijaribu kuficha taswira kwenye jamii kama aibu kubwa.kamanda wa polisi Mkoa wa Kinondoni ametoa tamko lakupambana na tatizo hili mara moja na kuiimiza ushirikiano mzuri na raia wema wenye kujali maadili na maendeleo mazuri kwa taifa kubwa la vijana wanaozidi kupotoka.
No comments:
Post a Comment