B

B

Saturday, December 21, 2013

IZZO BUSINESS KUFUNGA MWAKA MBEYA "HOME SWEET HOME"

Tarehe;31/12/2013 nitakuwa mbeya kwenye mkesha wa mwaka mpya ndani ya Tamasha la HOME SWEET HOME litakalofanyika BABZ Club kwa kiingilio cha Sh.7000/= kwa mpango huu hapa Mbeya city kaeni mkao wa kula nakuja nyumbani tufunge mwaka kwa style mpya.

No comments:

Post a Comment