B

B

Friday, January 3, 2014

NEW HIT "THE ONE" GELLY WA RYHMES FT HEMED (PHD) COMING SOON THIS MONTH ON 8th JANUARY

Wasanii wawili wa muziki wa kizazi kipya cha Bongo Fleva hapa nchini Hemed Suleiman (PHD) na Gelly wa Rhymes, ndani ya mwaka mpya wa 2014 wanafanya kali kwa kuachia wimbo mpya ujulikanao kama "THE ONE" ulioandaliwa fresh chini ya Producer mahiri wa Label ya AM Records Maneck na kuzinduliwa rasmi tarehe 8/1/2014. Mashabiki wote wa muziki hapa kwetu mnapata mpya kutoka kwa vijana wetu wanaofanya makubwa kwenye industry ya muziki wa Bongo Fleva na RnB na ni kawaida kwa mzalendo kuwa makini kuipata ngoma hii mara baada ya uzinduzi basi kaa tayari na uweze kusikia kipi zaidi kilichojiri ndani ya ngoma hii..

No comments:

Post a Comment