B

B

Saturday, December 21, 2013

DIAMOND PLATNUMZ AWATEMBELEA WATOTO YATIMA NA KUWAPA ZAWADI YA XMASS

 "Siku yangu ya leo baada ya swalt Ijumaa nimeona busara kubwa kutembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu kilichopo Buguruni, niliweza kula nao chakula cha mchana, tukacheza michezo mbalimbali na kikubwa zaidi nikawapa fursa ya pekee kutazama video yangu mpya ya My Number 1 remix..na kisha nikawapa complimentary 50 za kuja kusheherekea na kutazama live show yangu ya watoto itakayofanyika pale viwanja vya Leaders 25/12/2013 siku ya xmass.." aliyazungumza msanii Diamond



Diamond Platinumz akiwa amembeba mtoto Raphael, dada zulpha (katikati) na Mama Naseeb (Diamond).

No comments:

Post a Comment