YALIYOJIRI POOL PARTY PANDE ZA KD HOTEL,,,
The party ilikuwa ya ukweli ni such for girls ilikuwa ladies free na boys it was only 5000sh na disco la nguvu lilishushwa people ziligambeka mpaka mida ya saa nne na kulikuwa na mishkaki ya kufa mtu...Usipende kuadithiwa sogea panda za KD Hotel.
No comments:
Post a Comment