B
Monday, March 31, 2014
CCM KUMTUMIA BALOZI WA CHINA KWA HARAKATI ZA KUENEZA SERA ZA CHAMA NI KOSA LA AIBU KUBWA KWA TAIFA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya kitendo cha aibu kubwa cha kumtumia Balozi wa China Tanzania na baadhi ya wakandarasi wa kichina katika kunadi sera zao sehemu wakadha ndani ya nchi na kutoa baadhi ya mikakati ambayo inawanyima watanzania kuwa na kuelewa demokrasia iko wapi maana ni kupewa shinikizo la kuichagua CCM ili waweze kuletewa huduma hizo kwenye jamii zao..kitu ambacho vyama vya upinzani kikiwepo CHADEMA kimetilia mkazo na kutoamashtaka juu ya kitendo kinachofanywa na makada wa CCM akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Mh. Abdulrahman Kinana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment