Bao safi likitiwa kimyani na mchezaji wa Simba Fc katika dakika ya 19 ya mchezo uwanja wa Taifa
Hawa ni baadhi ya mashabiki wa Club ya Wekundu wa Msimbazi Simba wakionyesha furaha baada ya timu yao kupata ushindi mbele ya mahasimu wao wa watani Yanga African.
Picha na;Benson kaile Jr
No comments:
Post a Comment