Kwajinsi tunavyofanya jitihada sana kwenye mambo mengine basi wasanii nao wanaongeza bidii kisanaa kwani wanajaribu kufikisha soko lao mbali na kuweza kuleta ushindani kwenye mataifa mengine Kama msanii wa kitanzania Diamond alivyovuka mipaka ya Tanzania na kufanya kazi mbalimbali na wasanii wa nje kama Davido wa Nigeria.
Hapa ni Meneja wa Tip Top Connection Babu Tale akiwa na Mwanamziki Davido wa Nigeria katika video shooting ya My Number 1 Remix..pande za Lekki-Ikoyi (Lekkoyi) Bridge Lagos.
No comments:
Post a Comment